iqna

IQNA

IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Iran amekosoa mtazamo wa Magharibi kuhusu haki za binadamu na kusema “hauna msingi na hauna maana,” akibainisha kuwa mtazamo wao ni wa maslahi binafsi tu.
Habari ID: 3480885    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/02

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran Ayatullah Nasser Makarem Shirazi amesema Uislamu unalipa uzito mkubwa suala la afya ya mwanadamu.
Habari ID: 3474728    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/27